August 31, 2009

Typhoon

Habari zenu.
Typhoon imekuja hapa JAPAN.
Mvua , Upepo ni kali sana.
Saa ningine RORO itachelewa kuondoka hapa JAPAN.
Kwa sababu Typhoon inazisumbua .

Lakini usikuwe na washiwashi.
Itaweza kufika vizuri.


Asante.
Siku njema.
Kazi njema.