September 21, 2009

Africa yetu

Rafiki wangu ataenda Rwanda .
huyu alikuja kuona mimi, wakati nilikuwa Kenya.

Alikuja Africa mara ya kwanza.
Tulienda sokoni, tulipika chapati, tulitembea Nairobi town.

Akirudi Japan, amefikiri sana maneno ya Africa.
Halafu ameamua kuenda tena.

Sasa amepata kazi ya volunteer kwa JAICA.
atasaidia watoto wa Rwanda.

Siku moja mimi pia ningependa kutembelea Rwanda.

Africa inanipatia nguvu.

Yuko