October 5, 2009

Nitaenda safari

Nitaenda safari hii wiki.
Nitafanya kazi kwa CEBU.

Nitabeba computer yangu. kwa hivyo nitaweza kuanya kazi vila shida.
Sitaweza kupokea simu, lakini nitaweza kuangalia mail.
utaweza kunitumia mail wakati wowote.


Asante sana.
Siku nejma.


Yuko