November 10, 2009

JEVIC test

Habari .

Unajua? Jevic test itaweza kupita mpaka mwezi huu peke yake.
kwa hivyo utaweza kununua gari ya 2002 model saa hii tu.

Utaniambia unahitaji gari gani, nitakusaidia.

Asante!!


Yuko