April 27, 2009

Chai baridi ya Japan!!


Habari za leo.
Mimi ni mjapani,naitwa Yuko.

Lakini nilisoma kiswahili kwa Kenya.Niliishi kenya na Tanzania .
Africa ni jua kali sana.

Unajua, Japan kuna 4 seasons.

Saa ningine snow inanesha, saa ningine joto sana kushinda Zanzibar.
Leo ni Jua kali sana, kama Mombasa.

Tunakunywa chai baridi, na ice candy.
Umeshangaa?Chai baridi ni nini!?
Sisi wajapani tunapenda chai baridi bila sukari.

Leo watu wengi wanakunywa kitu baridi.
Lakini hakuna matatizo!!

Hatuwezi kupata ugonjwa kutoka kitu baridi!!
Pole. Kiswahili yangu si safi.
Asante sana.Kazi njema!!

PROSPERCO., LTD

YUKO TSUSHIMA