April 27, 2009

Yuko yuko wapi?


Habari zenu.


Naitwa YUKO.

YUKO ni jina la mjapani.

Lakini niliishi kwa Kenya, watu walicheka sana.

Kwa nini?


YUKO yuko wapi?


Wakenya na watanzania hawawezi kusahau jina langu.


Ndio, YUKO niko hapa!!


Picha : Nilitembelea KISUMU peke yangu, chakula kizuri!!


PROSPER CO., LTD

SALES REPRESENTATIVE YUKO TSUSHIMA


Please check our NEW HP as follows,http://prosperjp.com/