June 10, 2011

Habari za leo??

Habari gani?
Mimi ni YUKO.
Niko sawa.

Japan ni mvua.
Mvua ikiisha, nitacheza violin!!
Violin yangu ni made in KENYA!!

Asante sana.

Yuko

http://www.prosperjp.com/